
YANGA YAGOMEA KURUDIA MAKOSA KIMATAIFA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema hawatarudia makosa ambayo walifanya 2021 walipokutana na Rivers United kwenye mashindani ya kimataifa. Septemba 12 2021 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ubao ulisoma Yanga 0-1 Rivers United na ule wa pili ubao ulisoma Rivers United 1-0 Yanga ilikuwa ni Septemba 19. Kocha huyo ameiongoza Yanga kwenye…