
HUKU NDIKO HESABU ZA IHEFU ZILIPO
UONGOZI wa Ihefu umebainisha kuwa umeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya Coastal Union. Ihefu inashikilia rekodi ya kuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga msimu wa 2022/23 walipokutana Uwanja wa Highland Estate mzunguko wa kwanza. Mzunguko wa pili Yanga walilipa kisasi kwa kuitungia Ihefu bao 1-0 Uwanja wa Mkapa. Mchezo…