Home Sports DUBE MWAMBA KWELIKWELI UJUE

DUBE MWAMBA KWELIKWELI UJUE

MWAMBA huyu hapa ukimuona tu uwanjani lazima kipa wa timu pinzani ajue leo kazi ninayo.

Anaitwa Prince Dube mpeleka maumivu kwa Simba kwenye mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara akiwa anashikilia rekodi ya kufunga bao la mapema zaidi mbele ya Simba.

Mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Azam 1-0 Simba mtungaji alikuwa ni Dube na mzunguko wa pili Simba 1-1 Azam ni yeye Dube alimtungua Manula.

Mei 7, Uwanja wa Nangwanda Sijaona kazikazi dhidi ya Simba mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation.

Previous articleMUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
Next articleVIDEO:YANGA YAWACHAMBUA WAPINZANI WAO KIMATAIFA