Home Sports WAKALI WAKIWA LANGONI HAWA HAPA

WAKALI WAKIWA LANGONI HAWA HAPA

MIONGONI mwa makipa ambao hawajafungwa kwenye mechi zaidi ya tano jina la Said Kipao ambaye yupo chini ya Kocha Mkuu, Mecky Maxime jina lake pia.

Anakumbuka alikuwa langoni alitunguliwa mabao matano na Yanga kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Kipa huyo wa Kagera Sugar hajafungwa kwenye mechi sita ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23.

Namba moja ni Djigui Diarra mwenye clean sheet 16 akiwa ndani ya Yanga.

Aishi Manula wa Simba ni namba moja yupo zake Simba akiwa hajafungwa katika mechi 12.

Ahamada wa Azam FC hajafungwa katika mechi 8 huku Metacha Mnata akiwa na clean sheet 7 yupo zake ndani ya Yanga.

Benedick Haule hajafungwa kwenye mechi 6 ni mali ya Singida Big Stars.

Previous articleSIMBA KAMILI KUIKABILI AZAM FC
Next articleMUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI