
KIUNGO RIVERS UNITED AKUBALI KUTUA YANGA
KIUNGO Rivers United akubali kutua Yanga, Simba wabadili gia ndani ya Spoti Xtra Jumanne
KIUNGO Rivers United akubali kutua Yanga, Simba wabadili gia ndani ya Spoti Xtra Jumanne
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa kazi kubwa ni kusaka ushindi katika mechi zao. Ni Fiston Mayele mwenye mabao 16 ndani ya ligi na mabao matano katika Kombe la Shirikisho Afrika ametupia mabao matano kuanzia hatua ya makundi mpaka robo fainali. Mei Mosi kikosi…
JONAS Mkude ni miongoni mwa mastaa wa Simba ambao wapo kwenye msafara ulipo Ruangwa,Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Mkude alikosekana kwenye mechi za hivi karibuni katika Ligi ya Mabingwa Afrika wakati Simba ikifungashiwa virago na Wydad Casablanca hatua ya robo fainali kuanzia ule wa nyumbani hata ugenini. Yupo…
HAKIKA ni wakati mzuri kwa Yanga kutokana na kile ambacho walikuwa wanapigia hesabu kujibu kwa wakati. Kutinga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano makubwa Afrika ni heshima kwa Tanzania na timu yeyewe inaonyesha ukomavu wake. Wachezaji bila kusahau benchi la ufundi hakika walikuwa kwenye kazi kubwa kutimiza majukumu yao uwanjani na nje ya uwanja. Mashabiki…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa sasa hawana mpango wa kutafuta mchawi ni nani bali wanachukua somo ili wkwenda hatua zinazofuata
BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Klabu ya Yanga inakuwa kwenye mashindano makubwa inayoshiriki. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia Aprili 30 iliandika rekodi yake mpya ya kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-0 Rivers United. Mabao hayo yote Yanga ilishinda ikiwa…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga za kimataifa Simba mbio zao zimegote hatua ya robo fainali baada ya kufungashiwa virago na mabingwa watetezi Wydad Casablanca. Wakati yakitokea kwa Simba kufungashiwa virago watani zao wa jadi Yanga wametinga hatua ya nusu fainali dhidi ya Rivers United kutoka Nigeria. Hakika moja ya mechi mbili zilizokuwa na ushindani mkubwa…
SISI ndio Yangaaa,Simba yachora ramani kuivurugia Yanga ubingwa ndani ya Championi Jumatatu
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi imeandika historia bora ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Faida ya mabao ya ugenini ubao uliposoma Rivers United 0-2 Yanga umewapa nguvu kusonga mbele. Mabao yote yalifungwa na Fiston Mayele akitumia pasi za Bakari Mwamnyeto. Katika mchezo wa leo Uwanja wa Mkapa wametoshana nguvu…
JURGEN Klopp Kocha Mkuu wa Liverpool ameshuhudia vijana wake wakivuja jasho dakika 90 mbele ya Spurs. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Anfield umesoma Liverpool 4-3 Spurs. Liverpool walianza kupachika bao dakika ya 3 kupitia kwa Curtin Jones kisha dakika ya 5 Luis Diaz alipiga msumari wa pili na Mohamed Salah dakika ya…
UBAO wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 0-0 Rivers United ikiwa ni mapumziko kwa sasa. Huu ni mchezo wa pili wa hatua ya robo fainali ambapo wawakilishi wa Tanzania wanapeperusha bendera. Kwenye kipindi cha kwanza dakika ya 24 mchezo ulisimama kwa muda kutokana na tatizo la mwanga katika eneo la kuchezea kuwa hafifu na walipolishughulikia…
MANCHESTER United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ten Hag imesepa na pointi zote tatu muhimu dhidi ya Aston Villa. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Old Trafford ubao umesoma Manchester United 1-0 Aston Villa. Bao pekee la ushindi limefungwa na Bruno Fernandez dakika ya 39 kipindi cha kwanza na kuimaliza kazi mapema. United inafikisha pointi 63 nafasi…
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Rivers United Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya robo fainali,Uwanja wa Mkapa Djigui Diarra Dickson Job Kibwana Shomari Mwamnyeto Bakari Bacca Ibrahim Aucho Khalid Sure Boy Mudhathir Yahya Mayele Fiston Aziz Ki Mzize
BAADA ya kugotea hatua ya robo fainali msafara wa kikosi cha Simba umewasili salama Dar, leo Aprili 30,2023. Kikosi cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kilikuwa na kazi ya kuwavua ubingwa mabingwa watetezi Wydad Casablanca ila ngoma ikawa nzito kwao. Jumla ya penalti 4-3 zimewaondoa kwenye reli Simba baada ya matokeo ya jumla…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika mchezo wa ugenini wataumaliza kwa mpango mkubwa ili kazi ya kutinga hatua ya nusu fainali kimataifa. Yanga ilishuhudia ubao ukisoma Rivers United 0-2 Yanga katika hatua ya robo fainali ya kwanza na mchezo wa pili unatarajiwa kuchezwa Aprili 30,Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo huo…
MWAMBA huyu hapa ndani ya kikosi cha Simba uhakika kikosi cha kwanza kutokana na uwezo wa kupandisha mashambulizi na ana uwezo wa kufunga. Mechi 21 dakika 1,866 mabao 2 pasi za mabao 6. Ikumbukwe kwamba alikosekana kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza dhidi ya Yanga. Tunakupitisha kwenye kazi zake ngumu ndani ya ligi msimu wa…
KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa watapata muda wa kuunda mpango kazi kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi ijayo dhidi ya Simba. Timu hiyo inatarajiwa kumenyana na Simba mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation, Uwanja wa Nangwanda ambapo bingwa mtetezi ni Yanga. Yanga wao watacheza hatua…