
MWAMBA HUYU MBEYA CITY MKALI WA NYAVU
UKIFIKA Mbeya usisahu ukarimu wa watu wale na namna wanavyojivunia uoto wa asili hakika kàtika hili wanastahili pongezi. Wanasema kàtika orodha ya marafiki ulionao usisahau kuwa na mmoja anayetoka Mbeya hakika hautajuta ni furaha muda wote kuwa na rafiki kutoka nyanda za juu kusini. Hata Deus Kaseke anayekipiga ndani ya Singida Big Stars ni zao…