
SABABU KICHAPO AZAM FC IPO HIVI
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa Namungo walistahili kupata ushindi kwenye mchezo wao kutokana na wachezaji wake kucheza chini ya kiwango. Mei 14 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 1-2 Namungo ambao walitupia kimiani kupitia Hassan Kabunda na Shiza Kichuya huku mchezaji wa Namungo Paterne Counou akijifunga. Azam FC…