
PHIRI KAREJEA MDOGOMDOGO KWENYE UTUPIAJI
MOSES Phiri msimu wa 2022/23 alitupia mabao 10 kibindoni na timu ya mwisho kuifunga ilikuwa ni Coastal Union, Tanga. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa nyota huyo ataendelea kuwapa furaha Wanasimba. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa fainali wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga anaingia kwenye rekodi ya nyota…