
HIVI NDIVYO MPANGO KAZI WA GAMONDI KIMATAIFA
UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua kuanza katika kikosi cha timu hiyo, kitakachovaana dhidi ya ASAS FC ya nchini Djibouti. Yanga itavaana dhidi ya ASAS katika mchezo wa hatua ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa leo Agosti 20 Jumapili kwenye Uwanja wa Azam Complex, Mbagala Jijini…