
HIVI NDIVYO AZAM FC WALIVYOWATULIZA SINGIDA FOUNTAIN GATE
AZAM FC ni washindi wa tatu katika Ngao ya Jamii 2023 baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 Singida Fountain Gate katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Singida Fountain Gate walikosa utulivu katika kipindi cha kwanza eneo la ulinzi jambo lililowafanya Azam FC kuwatuliza kwa bao la mapema zaidi. Ni Prince Dube alianza kumtungua…