
TWIGA STARS KAZINI LEO AZAM COMPLEX
KUELEKEA katika mchezo wa kuwania kufuzu Mashindano ya Mataifa ya Kimataifa Wanawake, (WAFCON) unaotarajiwa kuchezwa leo, benchi la ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania, Twiga Stars limeweka wazi kuwa lipo tayari. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex likiwa ni jambo la taifa na hakutakuwa na kiingilio. Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Bakari…