
MWAMBA HUYU SIMBA KUWAPA TABU KWELIKWELI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa nyota wao Fabrince Ngoma bado anajitafuta licha ya kuonyesha uwezo kwenye mechi za ligi ambazo alipata nafasi ya kucheza. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ni mechi tatu kacheza akikomba dakika 225, katupia bao moja ilikuwa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu. Wachezaji wa Simba, Oktoba Mosi…