
JWANENG 0-0 SIMBA
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Afrika kwa wawakilishi wa Tanzania wakiwa ugenini ni mapumziko. Dakika 45 zimekamilika ambapo ubao unasomaJwaneng Galaxy 0-0 Simba. Ayoub Lakred yupo langoni akitimiza majukumu yake kwenye mchezo wa leo huku Ally Salim akiwa benchi. Jean Baleke anaongoza safu ya ushambuliaji akishirikiana na Saido Ntibanzokiza kwa kiungo…