
YANGA YAWAFUATA WAPINZANI WAO KIMATAIFA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Desemba 5 alfajiri kimeanza safari kuelekea Ghana kwa ajili ya kupambania kupata pointi tatu muhimu. Baada ya kucheza mechi mbili ambazo ni dakika 180 imekusanya pointi moja pekee. Yanga inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ina kibarua cha kusaka…