
MAN UTD YAITANDIKA CHELSEA OLD TRAFFORD 2-1
Shughuli imemalizika, alama tatu muhimu kwa Mashetani Wekundu katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 2-1 Chelsea ⚽⚽ McTominay 19’ 69’ ⚽ Palmer 45’ Manchester United imefikisha alama 27 baada ya mechi 15 ikikwea mpaka nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Chelsea inasalia nafasi ya 10 alama 19 baada ya mechi…