
YANGA MATUMAINI MAKUBWA KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa bado una nafasi ya kufanikisha malengo yao licha ya kuanza kwa kusasua kwenye mechi za mbili za hatua ya makundi, Ligi ya Mabingwa Afrika. Baada ya kukomba dakika 180 kibindoni ni pointi moja ilivunwa kutokana na sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Al Ahly, mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa….