
MALI YATINGA ROBO FAINALI MBELE YA BURKINA FASO
TIMU ya taifa ya Mali anayocheza kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra iliwafungashia virago wapinzani wao Burkina Faso anayocheza Aziz KI anayecheza Klabu ya Yanga. Ndani ya dakika 90 kwenye hatua ya 16 bora mshindi aliyetinga robo fainali ya Kombe la mataifa ya Afrika (Afcon) ni Mali baada ya kutinga Burkina Faso mabao 2-1…