
SIMBA NA YANGA WAPINZANI WAO HAWA HAPA
AZAM Sports Federation Cup 2023/24 raundi ya pili inatarajiwa kupigwa ndani ya Januari baada ya ratiba kupangwa. Tayari Simba na Yanga wameshawajua wapinzani wao kwenye hatua hiyo ambapo mechi zinachezwa kwa mtindo wa mtoano atakayepoteza mchezo safari inamkuta. Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa mechi za nyumbani itamenyana na Dar City Januari 31 saa…