Home Sports AZIZ KI/DIARA/FEI TOTO/KWENYE VITA YAO SIMBA YAJIENGUA

AZIZ KI/DIARA/FEI TOTO/KWENYE VITA YAO SIMBA YAJIENGUA

MIAMBA ilyopo kwenye tatu bora ndani ya Ligi Kuu Bara ipo kwenye vita yao nyingine ambapo kila timu inapambana kufanya kweli ndani ya uwanja kutokana na uhalisia uliopo kwani kila timu inasaka pointi tatu. Yanga ambao ni mabingwa watetezi huku vinara wakiwa ni Azam FC. Simba mwendo wao haujawa imara licha ya kucheza mechi chache wapo kwenye mapito yao

Previous articleREKODI HIZI HAPA ZA JEMBE JIPYA SIMBA
Next articleMbagala Rangi 3 Yafurahia Ujio wa Meridianbet