
TAIFA STARS MAUMIVU INATOSHA
INATOSHA kwa maumivu ambayo mashabiki wameyapata pamoja na wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo ilikuwa ikipambana kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika, (AFCON). Kwenye mechi tatu ilizocheza ilikuwa ni ngumu kupata tabasamu kutokana na mechi zote kutoapa ushindi hivyo Watanzania wapo kwenye huzuni ya kuona kwamba kwa mara nyingine tena tunakuwa…