Home Uncategorized MITAMBO YA MABAO AZAM FC HII HAPA

MITAMBO YA MABAO AZAM FC HII HAPA

WAKIWA ni vinara ndani ya Ligi Kuu Bara Azam FC kuna nyota wawili ambao ni mitambo ya mabao ikiwa ni pamoja na Feisal Salum na Kipre Junior. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Yuuph Dabo ilikuwa kwenye mwendo mzuri wa ligi lakini kwenye Mapinduzi 2024 iligotea hatua ya robo fainali ilipokwama kupata ushindi mbele ya Singida Fountain Gate.

Previous articleMRITHI MIKOBA YA BALEKE NI BALAA TUPU
Next articleKILA LA KHERI TAIFA STARS