Home Sports AMETHIBITISHA BALAA LA MBEBA MIKOBA YA BALEKE SIMBA

AMETHIBITISHA BALAA LA MBEBA MIKOBA YA BALEKE SIMBA

WAKATI Jean Baleke akipewa mkono wa asante ndani ya kikosi cha Simba mwamba anayetajwa kurithi mikoba yake Michel Fred anatajwa kuwa na uwezo mkubwa kwenye kutimiza majukumu yake uwanjani. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally amesema kuwa washambuliaji wapya wanaokuja ndani ya Simba wanauwezo mkubwa hivyo watawapa furaha mashabiki wa Simba ndani ya uwanja.

Previous articleKILA LA KHERI TAIFA STARS
Next articleKOCHA STARS: TUMEJIFUNZA MENGI AFCON