
COSMOPOLITAN WAZITAKA POINTI TATU ZA PAN AFRICANS
UONGOZI wa Cosmopolitan umebainisha kuwa mpango mkubwa ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa Championship dhidi ya wapinzani wao Pan Africans wakiwa ugenini. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Februari 3 Uwanja wa Mabatini, Pwani kwa wababe hawa wawili kusaka pointi nani ya dakika 90. Ikumbukwe kwamba Ofisa Habari wa Cosmopolitan, Leen Essau aliibuka ndani…