Home Uncategorized KAGERA SUGAR KUMBE WALINYIMWA BAO

KAGERA SUGAR KUMBE WALINYIMWA BAO

MCHEZO wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kwa Februari 2 2023 ilikuwa Uwanja wa Kaitaba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kagera Sugar 0-0 Yanga.

Mchambuzi wa masuala ya michezo akiegemea zaidi kwenye mifumo Sisintinho Martin amebainisha kuhusu mbinu na namna ambavyo Kagera Sugar walifunga bao ambalo mwamuzi alibainisha kuwa ilikuwa ni mtego wa kuotea.

Huyu hapa Sisintinho amechambua namna hii:-

 Ubora wa Kagera ulioonyesha udhaifu wa Yanga kimbinu

•Miundo na staili yao kuzuia kwenye theluthi zao mbili (Low Block)
• Namna wanavyoshambulia kwa kujibu pindi wanapopokonya mpira kabla Yanga hawaja-Regain kwenye muundo wao wa uzuiaji (Counter Attacks)

 Mapungufu ya Yanga wanapokuwa na mpira

• Ufanisi wa wachezaji wa Yanga kwenye upigaji wa pasi
• Pasi nyingi kwenye wakianza ku-approach nusu ya mpinzani zilipotea.
• Build zikashindwa kupenya na nafasi hazikutengenezwa

Kagera walivyofunga na kukataliwa bao

• Baada ya kushindwa kufunga In Possession, wamefunga kwa Set plays
• Maamuzi yamewahukumu Kagera, Chirwa alikuwa Onside

 Kagera walivyo-Prove Wrong;

• Historia yao mbaya mbele ya Yanga (Head to head)
• Form yao Mbaya kwenye ligi (walitoka Kupoteza mechi 3 mfululizo)
• Quality za wachezaji kulinganisha na wa Yanga
• Quality ya benchi la ufundi

Previous articleISHU YA HENOCK INONGA BENCHIKHA AKINUKISHA
Next articleHIVI HAPA VIGONGO VYA SIMBA NDANI YA FEBRUARI