MASHUJAA WAPOTEZA MBELE YA SIMBA
WAKIWA na kikosi cha kazi kilichotoka kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tembo FC, wameshuhudia ubao ukisoma Mashujaa 0-1 Simba. Bao pekee la ushindi kwa Simba limefungwa na Said Ntibanzokiza ambaye alipachika bao hilo kwa mkwaju wa penalti. Kwenye mchezo wa leo washambuliaji wa Simba walikosa umakini kwenye mchezo wa leo kufanya mashambulizi ndani…