Home Sports WATAKUJA KIVINGINE KABISA CAF YANGA

WATAKUJA KIVINGINE KABISA CAF YANGA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utakuja kivingine kwenye mashindano ya kimataifa yanayosimamiwa na CAF pamoja na Ligi Kuu Bara ili kuwapa burudani Wananchi pamoja na kupata matokeo chanya kwenye mechi ambazo watacheza.

Previous articleNYOTA HUYU SIMBA QUEENS ASEPA NA MPIRA
Next articleDR CONGO WAIDUWAZA MISRI AFCON