
MOROCCO WAKUTANA NA MAAJABU YA AFRIKA KUSINI
WABABE wa kundi F, lililokuwa na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars iliyoishia hatua ya makundi, Morocco wamefungashiwa virago katika Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) mbele ya timu ya Afrika Kusini. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Morocco 0-2 Afrika Kusini kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora. Mabao yalifungwa na Evidence Makgopa dakika…