NYOTA HUYU SIMBA QUEENS ASEPA NA MPIRA

NYOTA wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa amesepa na zawadi ya mpira baada ya kufunga hat trick katika Ligi ya Wanawake Tanzania. Hat trick hiyo ilipachikwa kipindi cha pili kwenye mchezo dhidi ya Alliance Girls uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Januari 27 2024. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba Queens 7-0 Alliance Girls ambao waliyeyusha…

Read More

SIMBA NA YANGA WAPINZANI WAO HAWA HAPA

AZAM Sports Federation Cup 2023/24 raundi ya pili inatarajiwa kupigwa ndani ya Januari baada ya ratiba kupangwa. Tayari Simba na Yanga wameshawajua wapinzani wao kwenye hatua hiyo ambapo mechi zinachezwa kwa mtindo wa mtoano atakayepoteza mchezo safari inamkuta. Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa mechi za nyumbani itamenyana na Dar City Januari 31 saa…

Read More

TABORA UNITED WAJIVUNIA MWAMBA HUYU

UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa unajivunia uwepo wa nyota wao John Noble ambaye ni kipa namba moja wa timu hiyo. Tabora United ni miongoni mwa timu ambazo zimepanda daraja zikiwa zinapambana kufanya vizuri kwenye ligi. Ofisa Habari wa Tabora United, Chritina Mwagala ameweka wazi kuwa wachezaji wao wanafanya kazi kubwa kwa ajili ya…

Read More

YANGA WANABALAA HAO, KAZI YAO IPO HIVI

YANGA baada ya kucheza mechi 11 za Ligi Kuu Bara imeambulia ushindi kwenye mechi 10 ikipoteza mchezo mmoja ikiwa haijapata sare ndani ya msimu wa 2023/24. Timu hiyo ina balaa kutokana na kasi yao kuwa imara ndani ya ligi wakiwa wanatetea taji hilo ambalo walitwaa msimu wa 2022/23. Kwa sasa inanolewa na Kocha Mkuu Miguel…

Read More

KAZI IMEPAMBA MOTO AFCON

NIGERIA wamewafungashia virago Cameroon katika 16 bora Kombe la Mataifa Afrika kwa ushindi wa mabao 2-0 kazi ikizidi kupamba moto kwa kila timu kupambania ushindi. Ni balaa zito kwenye mashindano haya ambapo Tanzania yenye Mbwana Samatta, Kibu Dennis, Mzamiru Yassin, Dickson Job, Bacca iligotea hatua ya makundi na kuondolewa ikiwa na pointi mbili kibindoni. Kwenye…

Read More

MUDA WA KUFANYA KWELI NI SASA KILA KONA

KAZI kubwa ambayo inapaswa kufanyika kuelekea kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa ni kufanya kweli kwa kila timu kupata matokeo mazuri. Tumeona kwamba kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) Tanzania ilikwama kutinga hatua ya 16 bora na kuishia kwenye hatua za makundi. Kwa maana hiyo kuna makosa ambayo wachezaji waliyaona na kushindwa kuyatumia…

Read More

Mbagala Rangi 3 Yafurahia Ujio wa Meridianbet

Nancy Ingram ambaye ni mhariri mkuu wa kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet akiongozana na timu yake nzima leo hii walifika Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Ikiwa bado hali ya hewa haijakaa vizuri kutokana na hizi mvua ambazo zinaendelea kunyesha Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli kwa wafanyabiashara kwaajili ya…

Read More

AZIZ KI/DIARA/FEI TOTO/KWENYE VITA YAO SIMBA YAJIENGUA

MIAMBA ilyopo kwenye tatu bora ndani ya Ligi Kuu Bara ipo kwenye vita yao nyingine ambapo kila timu inapambana kufanya kweli ndani ya uwanja kutokana na uhalisia uliopo kwani kila timu inasaka pointi tatu. Yanga ambao ni mabingwa watetezi huku vinara wakiwa ni Azam FC. Simba mwendo wao haujawa imara licha ya kucheza mechi chache…

Read More

REKODI HIZI HAPA ZA JEMBE JIPYA SIMBA

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba ambaye ni mshambuliaji rekodi zake zinaonekana kumbeba ikiwa zitajibu ndani ya Ligi Kuu Bara. Tayari nyota huyo ambaye ni mshambuliaji Michel Fredy ameanza mazoezi pamoja na wachezaji wenzake ndani ya Simba kwa ajili ya mechi za kitaifa na kimataifa. Rekodi zinaonyeshwa kwamba raia huyo Ivory Coast aliyekuwa kwenye…

Read More

JURGEN ANAONDOKA LIVERPOOL

JURGEN Klopp Kocha Mkuu wa Liverpool ameweka wazi kuwa hatakuwa ndani ya timu hiyo msimu ujao ikiwa ni maamuzi yake mwenyewe. Taarifa iliyotolewa na Liverpool imeweka wazi kwamba Klopp mwenyewe amesema hataendelea kuwa na timu hiyo baada ya msimu kuisha. Kocha huyo amesema:”Baada ya msimu kuisha sitaendelea kuwa katika nafasi ambayo nipo sasa ndani ya…

Read More

TAIFA STARS MAUMIVU INATOSHA

INATOSHA kwa maumivu ambayo mashabiki wameyapata pamoja na wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo ilikuwa ikipambana kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika, (AFCON). Kwenye mechi tatu ilizocheza ilikuwa ni ngumu kupata tabasamu kutokana na mechi zote kutoapa ushindi hivyo Watanzania wapo kwenye huzuni ya kuona kwamba kwa mara nyingine tena tunakuwa…

Read More