
AMETOA TAMKO HILI KOCHA YANGA KUHUSU WACHEZAJI WAPYA
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelahk Benchikha amezungumzia kuhusu wachezaji wake wapya waliojiunga na timu hiyo kwenye dirisha dogo. Februari 2 2024 Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.