
MAYELE AMPA TANO FEI TOTO
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga SC, Fiston Mayele amempongeza kiungo wa Azam FC ambaye naye amewahi kukipiga Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kufunga goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani. Feisal aliibuka Azam FC akitokea Yanga walipokutana kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi uliochezwa Machi…