
MTU WA KAZI ANASEPA YANGA
HUENDA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons utakuwa ni wa mwisho kwa Joyce Lomalisa kuwa na uzi wa njano na kijani. Kwenye mchezo uliopita dhidi ya Tabora United nyota huyo alitoq pasi moja ya bao kwa Aziz KI dakika ya 90 akiwa nje ya 18. Yanga ambao ni mabingwa wa ligi msimu…