
TAIFA STARS YAGOMEA KUPOTEZA TENA
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman, (Morocco) ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo unaotarajiwa kuchezwa leo Machi 25 2024 hivyo hawatakuwa tayari kupoteza kwa mara nyingine tena. Stars itakuwa na kibarua kwenye mchezo wa FIFA Series dhidi ya Mongolia ukiwa ni mchezo wa pili baada ya ule wa awali…