MWAMBA HUYU KWA MIKATO YA KIMYA YANGA BALAA

UKIWEKA kando jina la Khalid Aucho ambaye kwa sasa anapata matibabu baada ya kuumia mwamba mpya anayetembeza mikato ñdani ya Yanga Joseph GUEDE. Mchezo dhidi ya Geita Gold Machi 14 alicheza faulo nne dakika ya 36, 53, 56 na 72 alikomba dakika 80 nafasi yake ilichukuliwa na Clement Mzize aliyepiga shuti lililolenga lango dakika ya…

Read More

MERIDIANBET YATOA MSAADA ZAHANATI MWENGE

Kampuni ya Meridianbet awamu hii wamefika mwenge jijini Dar-es-salaam katika Zahanati ya Mlalakua na kufanikiwa kutoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka katika Zahanati hiyo. Kurudisha kwenye jamii yake iliyowazunguka ni kawaida kwa Meridianbet na leo wamegeukia moja ya Zahanati zinazopatikana katika eneo la Mwenge inayofahamika kama Mlalakuwa wakitoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka…

Read More

WAZIR JUNIOR ANA BALAA HUYO MABAO 50

MZAWA Wazir Junior anayetimiza majukumu yake ndani ya KMC wakusanya mapato ameandika rekodi yake kwa kuwa na mabao mengi ndani ya ligi.  Junior amefikisha jumla ya mabao 50 aliyofunga kwenye Ligi Kuu tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Junior amefunga mabao huku akiwa amecheza jumla ya mechi 77 kwenye Ligi Kuu tangu akiwa na Toto…

Read More

AZIZ KI ANAZIPA TABU NYAVU BONGO

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Aziz KI kasi yake ya kucheka na nyavu imezidi kuwa bora akizipa tabbu nyavu kwenye mechi ambazo anacheza ndani ya uwanja msimu wa 2023/24. Tayari amefunga mabao 13 akiwa namba moja kwa wakali wenye mabao mengi ndani ya ligi anafuatiwa na Feisal Salum wa Azam FC huyu katupia mabao 12 kibindoni….

Read More

LIGI KUU BARA KIVUMBI LEO

MACHI 16 Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea ambapo kutakuwa na dakika 90 za jasho kwa wanaume kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Saa 10:00 jioni, Singida Fountain Gate watakuwa Uwanja wa CCM Kirumba wakiwakaribisha Namungo FC Singida Fountain Gate na Namungo wanakutana ikiwa wote wametoka kupoteza michezo yao iliyopita. Namungo Machi 8 mchezo wake wa…

Read More

SIMBA 2-0 MASHUJAA

FT: LIGI Kuu Bara Simba 1-0 Mashujaa Clatous Chama goal dk 56, 72. Azam Complex Mchezo wa mzunguko wa pili Machi 15 2024 Uwanja wa Azam Complex wanaume 22 wanavuja jasho kusaka pointi tatu. Ushindi wa mabao mawili unawapa pointi tatu mazima Simba wakiwa nyumbani. Simba inawakaribisha Mashujaa kutoka Kigoma mwisho wa reli kwenye msako…

Read More

MAMELOD WANATAMBUA BALAA LA YANGA KIMATAIFA

WAPINZANI wa Yanga kwenye hatua ya robo fainali, Mamelod Sundowns wamebainisha kwamba wanatambua uimara wa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika jambo ambalo linawafanya wajiandae kwa umakini. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Mamelod kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni…

Read More

DROO YA KOMBE LA KLABU BINGWA ULAYA ROBO FAINALI YATOLEWA

Arsenal wamepangwa dhidi ya Bayern Munich katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, huku Manchester City wakicheza na Real Madrid. The Gunners watakuwa wenyeji wa Bayern ya Ujerumani, ambao wana nahodha wa Uingereza Harry Kane kwenye kikosi chao, kwenye Uwanja wa Emirates katika mechi ya kwanza. Wakati huo huo, huu ni msimu wa tatu mfululizo…

Read More

GAMONDI NA MTEGO WAKE KWA MZIZIMA DABI

MIGUEL Gamondi alianza na kiungo Mudathir Yahya kwenye benchi wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Yanga 1-0 Geita Gold. Mchezo huo ulichezwa Uwanja Azam Complex kulikuwa na mabadiliko katika kikosi cha kwanza ikiwa ni maalumu kwa ajili ya kuwapa muda wachezaji wengine ambao hawakupata nafasi kucheza mechi zilizopita. Mtego kwa Azam FC ambao…

Read More

UKUTA WA SIMBA NGOMA NI NZITO

BAADA ya kucheza mechi 18 za Ligi Kuu Bara na kuruhusu mabao 18 benchi la ufundi la Simba limebainisha kuwa watafanyia kazi makosa yanayotokea kwenye mechi zao katika uwanja wa mazoezi. Ngoma ni nzito kwa ukuta wa Simba katika kutoruhusu mabao ya kufungwa kwenye mechi za ligi ambapo kwenye mechi tatu mfululizo imeshuhudia ikifungwa jumla…

Read More

YANGA 1-0 GEITA GOLD, AZAM COMPLEX

FT:Ligi Kuu Bara Azam Complex Yanga 1-0 Geita Gold Goal Aziz KI dakika ya 28 Bao moja ambalo amefunga linamfanya afikishe mabao 13 ndani ya Ligi Kuu Bara Aziz KI baada ya kufunga bao moja kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold. Yanga ambao ni vinara wa ligi wamefikisha pointi 52 kwenye msimamo mchezo ujao ni…

Read More