
AZAM FC KWENYE HATUA NYINGINE TENA
MATAJIRI wa Dar,Azam FC wameendeleza mwendo wa kupiga hatua zaidi kwaajili ya kuwa na wachezaji bora na kuendeleza kutoa ajira kwa Watanzania kupitia sekta ya michezo. Taarifa ambayo imetolewa na Azam FC imeeleza namna hii: “Tumeingia makubaliano ya ushirikiano na vituo vya kulea vipaji (academies) nane za mikoa mbalimbali nchini. “Vituo hivyo nane vitakuwa ni…