
SIMBA: LIGI INAKWENDA MWISHO KILA TIMU INAPAMBANA
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa ligi inakwenda ukingoni jambo ambalo linaongeza nguvu kwa kila timu kupambana kupata matokeo. Timu hiyo kwenye mechi tatu zilizopita ilipata ushindi katika mechi mbili na kupoteza mchezo mmoja dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Jamhuri. Machi 15 2024 watakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye…