
MASIKINI MAN UTD IMEJICHOKEA, YAPIGIKA MAGOLI 4-0
Baada ya kuwa na matokeo ya kusuasua katika Msimu wa 2023/24, mambo bado hayajapoa kwa Manchester United ambayo imekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Crystal Palace kwenye mchezo wa Premier League Magoli ya Michael Olise (mawili), Jean-Philippe Mateta na Tyrick Mitchell yameifanya Palace kufikisha pointi 43 ikiwa nafasi ya 14 huku Man. United ikibaki…