UWANJA WA MKAPA: SIMBA 1-5 YANGA

Kipindi cha pili Yanga walionyesha wanahitaji ushindi na kufunga mabao kupitia kwa Maxi Nzengeli ambaye alifunga mawili dakika ya 64, 77, Aziz KI dakika ya 73, Pacome bao la tano dakika ya 87 kwa mkwaju wa penalti. Kariakoo Dabi Uwanja wa Mkapa upinzani ni mkubwa kwa timu zote mbili kusaka ushindi kwenye mchezo huo. Dakika…

Read More

JESHI LA SIMBA DHIDI YA YANGA HILI HAPA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameanza na jeshi hili dhidi ya watani zao wa jadi Yanga. Novemba 5 2023 itakuwa ni rekodi kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika. Hiki hapa kikosi cha Simba kipo namna hii:- Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Henock Inonga, Che Malone, Fabrice Ngoma,…

Read More

JESHI LA YANGA DHIDI YA SIMBA LIPO HIVI

KARIAKOO Dabi presha yake ipo juu kwa sasa huku kila timu ikiwa na hesabu za kukomba pointi tatu. Miguel Gamond, Kocha Mkuu wa Yanga jeshi lake ambalo amelipa kuanza dhidi ya watani zao wa jadi Simba lipo namna hii:- Djigui Diarra Yao Attouhula Joyce Lomalisa Bacca Khalid Aucho Maxi Nzengeli Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Aziz…

Read More

JUMAPILI HII MIKWANJA UPO KAMA KAWA KWA MECHI ZA ULAYA

Najua unajua lakini nakujuza tena  sehemu pekee ambayo unaweza kuchukua maokoto yako kirahisi ni Meridianbet ambapo wameweka ODDS KUBWA katika michezo ambayo itapigwa jumapili ili kukuwezesha kupiga mkwanja wa kutosha. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti ya Meridianbet na kuchagua timu zako Jumapili ya leo na kuweka dau lako ambalo linaanzia shilingi 100 na zaidi ili uweze kujipigia…

Read More

KASINO MITANDAONI NDIO HABARI YA MJINI KWASASA

Kama ulikua hujui sasa hivi watu wanajipigia tu mikwanja kupitia Kasino Mitandaoni ikiambatana na michezo kabambe kama Roullete, Piggy, Pinata Loca, Lakini kwasasa kuna mchezo unaobamba unajulikana kama Starlight Princess. Meridianbet wamekuja na Promosheni ambayo itajumuisha mchezo wa Starlight Princess ambayo imeanza tarehe 19 mwezi huku Oktoba na kumalizika mwezi huu tarehe 31 ambapo mshindi…

Read More

MTIBWA SUGAR MAMBO BADO MAGUMU

MTIBWA Sugar ikiwa Uwanja wa Manungu imeshuhudia Oktoba 19,2023 ubao ukisoma Mtibwa Sugar 0-2 Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ni Sugar Dabi. Mambo ni magumu kwa timu hiyo kutokana na mwendo wake kuwa ni wa kusuasua msimu mpya wa 2023/24 kwenye mechi za mwanzo. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa kwa awamu…

Read More

MWAMBA ONANA KWENYE MTEGO NDANI YA SIMBA

WILLY Onana nyota wa Simba yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kwa kutakuwa kutumia nafasi zinazopatikana kwenye mchezo. Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa African Football League leo Ijumaa dhidi ya Al Ahly, Uwanja wa Mkapa huku Onana akiwa ni miongoni mwa nyota waliopo kwenye mpango kazi wa kocha…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU HIZI AZAM FC

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa ligi dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 23, Uwanja wa Azam Complex. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi timu hiyo ilitoka kukomba pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ukisoma Geita…

Read More

SIMBA: WAARABU WAMEKUJA WAKATI MBAYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapinzani wao Al Ahly, Waarabu wa Misri wamekuja wakati mbaya ikiwa ni maandalizi ya mwisho ya mchezo wa ufunguzi wa African Super League. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20 2023 ukiwa na wageni wakubwa kutoka pande zote za dunia na miongoni mwao ni pamoja na rais wa Fifa Gianni…

Read More

MAMBO NI MAGUMU KWELIKWELI

PUMZI ndefu inavutwa na kushushwa taratibu mambo yanapokuwa tofauti na vile ambavyo yalipangwa kuwa. Ngumu kuwa na furaha katika nyakati ngumu ambazo hazidumu. Kwenye ulimwengu wa msako wa pointi tatu muhimu kuna timu ambazo mwanzo wa ligi mambo yamekuwa ni magumu kwelikweli kuambulia ushindi. Hapa tunakuletea baadhi ya timu zinazopambania kombe namna hii:- Coastal Union…

Read More

KILA LA KHERI TAIFA STARS KIMATAIFA

MCHEZO wa kimataifa wa leo kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni muhimu kupambana kupata matokeo. Kete ngumu na itakuwa na ushindani mkubwa. Wachezaji ni muda wa kuonyesha thamani ya kile ambacho kipo kwenye miguu yenu. Muda ambao ulipatikana kwa maandalizi unatosha na sasa ni kazi kuonesha ukweli kwenye vitendo. Nafasi yenu ni…

Read More