YANGA KAMILI KUIKABILI KMKM
MCHEZO wa kwanza ndani ya 2023 Yanga itashuka Uwanja wa Amaan leo dhidi ya KMKM saa 2:15 usiku. Ni Katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2023 huku kocha msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze akibainisha kwamba wapo tayari kwa ajili ya ushindani. Kaze amesema kuwa wanatambua ushindani ambao upo kwenye mashindano hayo kutokana na timu kujipanga….