MORRISON ATOA NENO BAADA YA KUPATA MILIONI ZAKE
KUNGO mshambuliaji wa Simba Bernard Morrison,amesema kuwa wachezaji wote ambao aliingia nao kwenye fainali ya kuwania tuzo bora kwa mchezaji chaguo la mashabiki walistahili tuzo hiyo lakini mwisho wa siku yeye amechaguiwa kuwa mshindi. Jana Desemba Pili, Morrison aliweza kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Novemba wa Simba. Morrison amekabidhiwa kitita…