EPL, CHAMPIONSHIP NA NBA KUENDELEA KUTOA BURUDANI WIKI HII
Mwezi Disemba unaanza kwa burudani za kibingwa. Kuanzia NBA, Ligi Soka nchini Uingereza (EPL) na kule kwenye Championship, ni vitasa vya kila namna. Nani ni nani? Ikaribishe Disemba Mosi kwa mchezo wa NBA kati ya Phoenix Suns vs Golden State Warriors. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu mbili ambazo zinafanya vizuri kwenye NBA msimu huu….