YANGA YAMSHUSHA MBADALA WA YACOUBA
USAJILI unaofanywa na Simba na Yanga kipindi hiki cha dirisha dogo ni umafia mtupu kwani hakuna ambayeanataka kuona mchezaji wake akiporwa. Katika kuhakikisha kila timu inafikia malengo yake, imefahamika kuwa, Jumapili Yanga imemshusha kimyakimya kiungo mshambuliaji kutoka nchini DR Congo tayari kwa ajili ya kusaini mkataba wa kukipiga Jangwani. Taarifa zimeeleza kuwa kiungo huyo ambaye kwa sasa jina lake wameamua kulificha kuogopa kuporwa na wapinzani, alitua Jumapili…