
MRITHI WA MIKOBA YA GOMES SIMBA HUYU HAPA
IMEELEZWA kuwa Rhulani Mokwena ni moja ya makocha ambao wanapewa chapuo la kuibuka ndani ya kikosi cha Simba. Kocha huyo ambaye anaifundisha Mamelodi Sundowns anaweza kuja kuchukua mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga. Mbali na jina la Mokwena pia Mserbia Milovan Cirkovic na Zdravko Logarusic pamoja na Josef Zinnbauer kocha wa zamani wa…