YANGA:HATA TUKIFUNGWA,MALENGO YAPO PALEPALE
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba wanaweza kufungwa kwenye mechi za ligi ila hilo haliwataondoa kwenye mpango wa kutwaa taji la Ligi Kuu Bara. Kwenye msimamo Yanga ni namba moja ikiwa imecheza mechi 22 na kukusanya pointi 56 ikiwa haijapoteza mchezo zaidi ya kuambulia sare 5 na kushinda mechi 17. Ofisa Habari wa Yanga, Hassan…