
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MWENYEKITI wa Chama Cha Wacongo Tanzania amesema kuwa kijana Alex Kabangu ameonyesha uwezo mkubwa mbele ya Twaha Kiduku, kwenye mchezo uliochezwa Morogoro.
KAMA ulikuwa unahisi mshambuliaji Fiston Mayele anawapa furaha mashabiki wa Yanga na kuishia tu hapa nchini, basi utakuwa unajidanganya. Hiyo ni baada ya Spoti Xtra kufanya mazungumzo na winga wa AS Vita ya DR Congo, Glody Makabi Lilepo ambapo ameweka wazi matamanio yake ya kutaka kucheza na Mayele ndani ya Yanga. Mayele ambaye amejiunga na…
ALEX Kabangu, bondi kutoka DRC Congo amesema kuwa aliweza kupambana kwenye pambano lake mbele ya Twaha Kiduku lakini anaona kwamba mshindi amepewa na waamuzi.
KIUNGO wa Yanga, Jesus Moloko, amefunguka kuwa kwa sasa anatamani sana kurejea kwenye kikosi hicho ili kuendeleza mapambano ya kulisaka taji la ligi kuu msimu huu. Moloko ambaye ameanza mazoezi na timu hiyo, anadai kuwa alikuwa anajisikia vibaya kuwa nje ya timu kwa sababu ya majeraha kwa kuwa mara zote amekuwa na kiu ya kutaka…
KUELEKEA mchezo wao wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa watafanya kila kinachowezekana kushinda mchezo huo, ili kutinga hatua ya robo fainali. Aprili 3, mwaka huu, Simba iliyo nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi D, wanatarajia kuwa wenyeji wa USGN…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba suala la mchezaji wa ASEC Mimosas Aziz KI kuweza kusajiliwa na timu hiyo litafanyiwa kazi ikiwa kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo. Imekuwa ikitajwa kwamba mshambuliaji huyo ambaye aliweza kumtungua kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula nje ndani yupo kwenye rada za mabingwa hao watetezi. Pia habari zilikuwa…
IMERIPOTIWA kuwa familia ya Ricketts ipo kwenye orodha ya wale ambao wanahitaji kuinunua Klabu ya Chelsea inayomiliki Uwanja wa Stamford Bridge. Pia wengine ni pamoja na Mwenyekiti wa zamani wa Liverpool Martin Broughton. Kwa mara ya kwanza ililipotiwa na Sky News siku ya Alhamisi huku Boston Celtics na mmiliki wa kampuni ya Atalanta Stephen Pagliuca…
MAZINGIRA ambayo yapo kwa sasa kwa wachezaji walioitwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni rafiki kwao kufanya kazi kwelikweli ili kuweza kupata ushindi. Hizi mechi ambazo zipo kwenye kalenda ya FIFA ni muhimu kwa wachezaji kuzipa uzito mkubwa na kufanya vizuri ili kupata matokeo. Ukiangalia namna ambavyo wachezaji wanapata nafasi kikosi cha…
UONGOZI wa Yanga, umethibitisha kuwa, kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho, yupo fiti kwa asilimia 100, ambapo ameruhusiwa kujiunga na Timu ya Taifa ya Uganda, huku Yanga wakitumia hiyo kama sehemu ya kumuandaa kuivaa Azam FC. Aucho ni miongoni mwa mastaa ambao wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda kwa ajili ya mechi…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
NYOTA wa ASEC Mimosas Aziz KI anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga na Injinia Hersi Said ameweza kufungukia suala la usajili wa nyota huyo.
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Kim Poulsen, amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuelewa kuwa wana timu bora sana ya taifa kwa sasa na wanatakiwa kuwa na imani nayo na kutoa sapoti kubwa. Kim ameyasema hayo baada ya Stars kuibuka na ushindi mbele ya Afrika ya Kati wa mabao 3-1 kwenye mchezo wa…
Burudani ya soka ipo kwenye michezo ya kimataifa, baadhi ya mataifa yameshafuzu kucheza Kombe la Dunia 2022 huku mengine yakikwama njiani. Wikiendi hii tunaendelea tulipoishia awali, jamvi lako litanogeshwa na Odds Bora za Meridianbet!! Barani Afrika, Cameroon wataingia uwanjani kuchuana na Algeria. Haya ni mataifa ambayo yanafanya vizuri kwenye soka la Afrika, ni damu…
JOSEPH Kaniki ameweka wazi kuhusu ishu ya kuuza madawa ya kulevya na kufunguka kwamba kikosi cha Simba ni hatari kimataifa
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamewabana kotekote mabingwa watetezi wa ligi na Kombe la Shirikisho, Simba kwa kuwa wazi kwamba wanahitaji kushinda kila sehemu. Kwenye Kombe la Shirikisho, Yanga imetinga hatua ya robo fainali na inatarajiwa kumenyana na Geita Gold na kwenye ligi, Yanga ni namba moja ikiwa na pointi 48 baada ya…