
SERENGETI GIRLS WAMETIMIZA MALENGO KOMBE LA DUNIA
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls amesema baada ya kufuzu robo fainali ya Kombe la Dunia Wanawake U 17, wametimiza malengo. Serengeti Girls imefuzu hatua hiyo baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Canada na mtupiaji wa Tanzania ni Veronica Mapunda dakika…