Singida Black Stars Yafanya Mabadiliko Makuu: Ouma Kocha Mkuu, Najjar Meneja Mkuu

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kumteua kocha David Ouma kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua nafasi ya Miguel Angel Gamondi ambaye imembadilishia majukumu na kumteua kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu. Taarifa ya leo Januari 05, 2025 iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa Ouma ambaye awali alikuwa kocha msaidizi atashirikiana na Makocha Wasaidizi…

Read More

Mali Yafuzu Robo Fainali ya AFCON 2025 Baada ya Kuifunga Tunisia kwa Penalti

Djigui Diarra na wenzake wa Mali wametinga robo fainali ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 kufuatia ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Tunisia katika dimba la Mohammed V, Casablanca kwenye hatua ya 16 bora. FT: Mali πŸ‡²πŸ‡± 1-1 πŸ‡ΉπŸ‡³ Tunisia ⚽ 90+6’ Sinayoko ⚽ 88’ Chaouat MATUTA: πŸ‡²πŸ‡± Mali: βŒβœ…βŒβœ…βœ… πŸ‡ΉπŸ‡³ Tunisia: βœ…βŒβœ…βŒβŒ ROBO…

Read More

Arsenal Yaendelea Kukimbia EPL Yaichapa Bournemouth 3–2 Ugenini

Arsenal imeendelea kuonesha ubabe kwenye Ligi Kuu England baada ya kupata ushindi wa tano mfululizo, mara hii wakiichapa AFC Bournemouth mabao 3–2 katika dimba la Vitality Stadium. Licha ya wenyeji kuanza kwa kasi kupitia bao la Evanilson dakika ya 11, Arsenal walijibu haraka kupitia Magallanes dakika ya 16 na kufanya matokeo kuwa 1–1 hadi mapumziko….

Read More

AFCON Yazua Balaa: Aubameyang Afungiwa, Gabon Yasimamisha Timu, Kocha Aachishwa Kazi

Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka β€œThe Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kutolewa kwao kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Hatua hizo zilitangazwa na Waziri wa Michezo, Simplice-Desire Mamboula, baada ya Gabon kufungwa 3–2 na Ivory Coast mnamo Desemba 31, huku wakimaliza mkiani katika…

Read More