Yanga Yakamilisha Uhamisho wa Mshambuliaji Depu Kutoka Poland

Klabu ya Yanga inadaiwa kufikia makubaliano na klabu ya Radomiak Radom ya Poland katika uhamisho wa mshambuliaji Laurindo Dilson Maria Aurélio “Depu”, raia wa Angola, ambaye anatarajiwa kutua rasmi mitaa ya Jangwani. Depu anasajiliwa kuchukua nafasi ya Andy Boyeli, ambaye amerejea katika klabu yake, huku Yanga ikilenga kuimarisha eneo la ushambuliaji kuelekea michezo ijayo ya…

Read More

Kitawaka AFCON leo Tandika Jamvi Lako la Ushindi Hapa, Algeria vs DR Congo, Ivory Coast Yakutana na Burkina Faso

Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka nafasi ya ushindi na Meridianbet sasa. Kule Italia, SERIE A pia kuna mechi za pesa ambapo Pisa atakipiga dhidi ya Como 1907 ambao wamekuwa na mwenendo mzuri kabisa msimu huu. Mwenyeji yeye mpaka sasa anashika…

Read More

Misri 3-1 Benini, AFCON 2025

Timu ya taifa ya Misri imetinga hatua ya robo fainali kwa ushindi dhidi ya Benin kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa leo Januari 5 2026. Mchezo huo umekwenda mpaka dakika ya 120 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja Adrar,Agadir kusoma Misri 1-1 Benin. Katika dakika 30 Misri ilifunga magoli mawili. Misri walianza…

Read More

Waziri Mkuu Mwigulu – “Taifa Stars Hawakutolewa Wameondolewa – Sisi Ni People Morocco Tutakutana”…

Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji wazawa, ikiwa ni mkakati wa kuandaa kikosi imara kuelekea mashindano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji. Akizungumza leo Januari 5, 2026, visiwani Unguja,…

Read More