Infantino Atingisha Dunia ya Soka, Mshahara Wake Wapanda Hadi Bilioni 15
Mshahara wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, umeongezeka kila mwaka hadi Dola za Kimarekani Milioni 6.1 (takriban Shilingi bilioni 15 za Tanzania) kutoka Dola Milioni 1.4 mwaka 2016 wakati wa Sepp Blatter. Haya ni baadhi ya matokeo ya utafiti uliofanywa na Gazeti la ‘Le Monde’ unaofichua muundo wa Mshahara wa mwaka…