TIMU ya taifa ya Ghana kwenye Kombe la Dunia tangu mwaka 1966 wakati rekodi zinatajwa kuanza kukusanywa inakuwa timu ya kwanza kukosa penalti mara mbili kwa timu moja.
Ilikuwa ni mwaka 2010 na 2022 mbele ya timu ya taifa ya Uruguay jambo ambalo linawasumbua kwa kweli Waafrika hawa.
Wakati wakifungwa mabao 2-0 dhidi ya Uruguay kwenye mchezo wa makundi ni staa wao Andre Ayew alikosa penalti.
Licha ya kufungwa na Uruguay kushinda wote wameondolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2022 Qatar kutoka kundi H baada ya Korea Kusini kufanya maajabu na kushinda mchezo wao.
Tottenham Hotspur forward Dominic Solanke battles with Crystal Palace defender Maxence Lacroix during the English championship Premier League football match between Crystal Palace and Tottenham Hotspur on 27 October 2024 at Selhurst Park in London, England - Photo Ian Stephen / ProSportsImages / DPPI (Photo by IAN STEPHEN / ProSportsImages / DPPI via AFP)