Saudi Arabia Yajenga Uwanja Wa Mpira Angani – Una Vituo Vya Burudani Na Mazoezi…

Katika siku za hivi karibuni, Saudi Arabia imekuwa ikifanya juhudi kubwa kujiweka kwenye ramani ya dunia kama kiongozi katika maendeleo ya michezo, na mojawapo ya miradi mikubwa zaidi ni ujenzi wa uwanja wa mpira wa mawinguni, ambao unalenga kuwa kivutio cha kipekee katika sekta ya michezo duniani. Uwanja huu, unaojulikana kama Neom Sky Stadium au…

Read More

Mechi 8 za Kihistoria Leo – Ni Siku ya Washindi na Meridianbet! England On The Move! Albania Mna Bahati?

Leo hii ukiwa na Meridianbet unaweza ukabadilisha maisha yako kirahisi sana kwani Meridianbet wamekupa nafasi kubwa kwa kukuletea mechi zote za ligi mbalimbali ambazo pia zina machaguo zaidi ya 1000. Italy watakuwa dimbani kusaka ushindi dhidi ya Norway huku timu hizi mbili zikiwa zinafatana kwenye msimamo wa Kundi lao kwani mwenyeji ni wa kwanza akiwa…

Read More

JKT QUEENS MGUU SAWA ANGA LA KIMATAIFA

Baada ya timu ya JKT Queens FC kutoa sare ya pili mfululizo katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Wanawake Afrika, yanayoendelea hatua ya makundi, Ismailia nchini Misri, kocha wa timu hiyo Kessy Abdallah, amewaomba mashabiki wa timu hiyo wawe na amani, kwani, kuelekea mchezo wa mwisho wanaandaa mpango mkakati kuhakikisha timu inakwenda hatua ya nusu…

Read More

Meridianbet Yaendelea na Moyo wa Ukarimu: Yatoa Msaada Kwa Kituo cha Urekebishaji MRC

Meridianbet wameonyesha tena moyo wa huruma kwa kutoa msaada wa mahitaji muhimu kwa kituo cha MRC Rehabilitation Centre kilichopo Dar es Salaam. Hatua hii imeonyesha jinsi kampuni hiyo inavyoweka mbele ustawi wa jamii kama sehemu muhimu ya utendaji wake wa kila siku. Msaada huo ulihusisha bidhaa mbalimbali kama vyakula, sabuni, mafuta ya kupikia na bidhaa…

Read More

Man City vs Liverpool, Real Madrid vs Rayo – Bashiri, Shinda, na Furahia Ukiwa na Meridianbet

Leo hii ukiwa na Meridianbet unaweza ukabadilisha maisha yako kirahisi sana kwani Meridianbet wamekupa nafasi kubwa kwa kukuletea mechi zote za ligi mbalimbali ambazo pia zina machaguo zaidi ya 1000. Tukianza na LALIGA kule Hispania itaendelea ambapo bingwa wa mtetezi wa ligi Real Madrid atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Rayo Vallecano ambao wapo nafasi ya…

Read More

Yanga Kutumia Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa Mechi Zake za Nyumbani za Makundi

Klabu ya Yanga SC imetangaza rasmi kuwa itacheza mechi zake zote tatu za nyumbani katika hatua ya makundi ya michuano ya kimataifa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar. Akizungumza kupitia taarifa rasmi ya klabu, Ofisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya uongozi kufanya tathmini ya kina na…

Read More